🛍️ Kwa biashara za Tanzania
Simamia biashara yako.
Pata faida kila siku.
Duka365 inakusaidia kusimamia bidhaa, huduma, mauzo, miadi, wateja na ripoti kupitia simu au kompyuta.
- 📦
Bidhaa na Huduma
Weka bidhaa au huduma unazotoa pamoja na bei, makundi, weka muda wa huduma.
- 💰
Ripoti za Mauzo na Mapato
Fuatilia mauzo ya kila siku, malipo, faida na vitu au huduma zinazopendwa zaidi.
- 🤝
Wateja, Miadi na Uendeshaji
Simamia wateja, miadi, wasambazaji na matumizi ya kila siku sehemu moja.
© 2026 Duka365. All rights reserved.