Uza Kijanja. Simamia Stoo Vizuri.
Kua Kila Siku.
Endesha duka lako kupitia dashibodi moja rahisi. Simamia stoo, mauzo, madeni ya wateja, matumizi, manunuzi, wasambazaji, biashara zaidi ya moja na ripoti — bila spreadsheet au kukisia.
- Kifurushi cha bure kipo
- Unaweza tumia Kiswahili au Kiingereza
- Maeneo ya Tanzania tayari yamejumuishwa
Kila kitu kwa duka lako
App moja. Mahitaji yote ya biashara yako.
Mfumo unafaa kwa biashara za rejareja na jumla — kuanzia vipodozi, maduka ya dawa, vyakula, nguo, vifaa vya ujenzi hadi biashara nyingine nyingi.
Jua stoo yako muda wowote
Fuatilia kila bidhaa dukani kwa urahisi. Pata taarifa mapema bidhaa zinapokaribia kuisha au kuharibika, ili usikose mauzo.
- Ona idadi ya bidhaa zilizopo muda wowote na pata tahadhari stoo inapopungua
- Fuatilia tarehe za mwisho wa matumizi kwa bidhaa zinazoharibika au kuisha muda
- Gawa stoo kwa kila tawi na ona stoo ambayo haijagawiwa
- Tumia barcode au QR code kupokea na kutafuta bidhaa haraka
- Pata mapendekezo ya kuagiza bidhaa kulingana na kiwango cha chini cha stoo
Kumbukumbu za biashara zilizo wazi
Kumbukumbu zako, tayari kwa mhasibu
Endesha biashara yako kama kawaida. Duka365 inapanga kumbukumbu anazohitaji mhasibu wako.
Rekodi mauzo, manunuzi, matumizi na malipo sehemu moja. Mhasibu wako anaweza kutumia historia hiyo iliyopangwa anapokagua biashara yako.
Mauzo na matumizi pamoja
Panga mapato ya kila siku na matumizi ya biashara bila kutumia spreadsheet tofauti.
Jua nani anamdai mwenzake
Fuatilia madeni ya wateja na manunuzi ya mkopo kwa wasambazaji kupitia historia moja ya biashara.
Kumbukumbu wazi za malipo
Rekodi malipo ya taslimu, benki na mitandao ya simu kwa mpangilio mmoja.
Ripoti unazoweza kushirikisha
Kagua ripoti za biashara na pakua kumbukumbu za kusaidia ukaguzi wa kitaalamu.
Inapatikana kwenye Android na iOS
Tumia Duka365 moja kwa moja kwenye simu yako. App inaendelea kufanya kazi hata kama hakuna intaneti au umeishiwa bando, hivyo unaweza kurekodi mauzo, kusimamia stoo na kuchapisha risiti.
Fanya kazi bila intaneti
Uza na simamia stoo hata bila intaneti. Taarifa zako zitasasishwa kiotomatiki utakaporejea kwenye intaneti.
Taarifa zinasasishwa haraka
Mauzo, mabadiliko ya stoo na risiti husasishwa kiotomatiki intaneti ikirudi.
Arifa za simu
Pokea taarifa za stoo kupungua, bidhaa kukaribia kuisha muda, na muhtasari wa siku moja kwa moja kwenye simu yako.
Inafaa kwa matawi mengi
Badilisha kutoka tawi moja kwenda jingine kwa kubonyeza mara moja.

Bei
Anza bure. Pandisha ukiwa tayari.
Bei moja kwa kila kifurushi, ukiuza rejareja, jumla au vyote viwili. Bei ni kwa Shilingi za Tanzania.
Uza jinsi biashara yako inavyofanya kazi
Rejareja, jumla au vyote viwili — vimo katika kila kifurushi bila gharama ya ziada. Badilisha wakati wowote bila kupoteza bidhaa, bei, wateja au historia ya mauzo.
Kubadilisha jinsi unavyouza ni bure na kunaanza kufanya kazi mara moja.
Bure
Nzuri kwa kuanza
Misingi ya rejareja na jumlaKwa kila biashara
- Hadi bidhaa 100
- Mauzo 150 kwa mwezi
- Mauzo ya rejareja na jumla
- Ufuatiliaji wa msingi wa bidhaa
- Mtumiaji mmoja
Pro
Kwa maduka yanayokua
Kwa maduka ya rejareja na jumla yanayokuaKwa kila biashara
- Bidhaa na mauzo bila kikomo
- Udhibiti wa bei za rejareja na jumla
- Ripoti za kina na faida
- Watumiaji wengi (hadi 5)
- Kuhamisha data na API
- Arifa 200 za SMS kwa mwezi
- Simamia biashara nyingi
Business
Biashara zenye matawi mengi
Kwa timu, matawi na mauzo makubwaKwa kila biashara
- Kila kitu cha Pro
- Matawi bila kikomo
- Ugawaji wa bidhaa kwa matawi
- Wafanyakazi, bidhaa na ripoti kwa kila tawi
- Sell Out Intelligence
- Arifa 1,000 za SMS kwa mwezi
- Wanatimu bila kikomo
Business — Imeundwa Kwa Ajili Yako
Chapa yako mwenyewe, miunganisho maalum, meneja wa akaunti na SLA. Tutajenga hasa kile biashara yako inahitaji.
- Kila kitu cha Business
- Chapa yako mwenyewe
- Miunganisho maalum na API
- Meneja maalum wa akaunti
- SLA na msaada wa kuanza
Hakuna shinikizo la mauzo — mazungumzo tu.
Uko tayari kuendesha duka lako kwa urahisi zaidi?
Jiunge na wamiliki wa maduka Tanzania wanaotumia Duka365 kusimamia stoo, kufuatilia mauzo na kukuza biashara zao.
Fungua akaunti ya bure